MAJINA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WATAKAOJIUNGA NA JKT 2013 | Yuvinusm

Daily Hot News

Breaking News
Loading...

MAJINA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WATAKAOJIUNGA NA JKT 2013MKUU WA JKT MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAWAITA VIJANA 10,849 WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MWAKA 2013 KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KAMA IFUATAVYO:-

1. VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA WALIOPATA DIVISION I NA DIVISION II.
2. VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA WALIOSOMA MASOMO YA MCHEPUO WA SAYANSI NA KUPATA DIVISION III.
3. VIJANA HAO WANATAKIWA KURIPOTI KATIKA MAKAMBI YA JKT TAREHE 24 JUNI 2013 BILA KUKOSA. AMBAYE HATARIPOTI ATACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA.
4. TANGAZO HILI HALIWAHUSU VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA 2013 KATIKA SHULE ZA SEKONDARI ZA UNGUJA NA PEMBA. AIDHA, SHULE 27 AMBAZO VIJANA WAKE WAMEHITIMU MAFUNZO YA JKT AWAMU YA KWANZA HAZIHUSIKI.
5. VIJANA HAO WATUNZE TIKETI ZAO KWA AJILI YA KUREJESHEWA NAULI WATAKAZOTUMIA MARA TU WATAKAPORIPOTI VIKOSINI.
6. TAARIFA ZAIDI ZITATOLEWA KWENYE MAGAZETI MBALIMBALI YA HAPA NCHINI. 
Majina ya waliochaguliwa na vituo watakavyokwenda:
 


BULOMBORA JKT-KIGOMA

WALIOCHAGULIWA KAMBI YA JKT-MSANGE 

WALIOCHAGULIWA KAMBI YA JKT-MLALE 

WALIOCHAGULIWA KAMBI YA JKT-RWAMKOMA

WALIOCHAGULIWA KAMBI YA JKT-RUVU 

WALIOCHAGULIWA KAMBI YA JKT-MGAMBO 

WALIOCHAGULIWA KAMBI YA JKT-MARAMBA 

WALIOCHAGULIWA KAMBI YA JKT-KANEMBWA 
☟⇓PATA VIDEO KALI ZA BONGO-DOWNLOAD HAPA CHINI☟⇓
AdSense is a free, simple way to earn money by displaying targeted ads next to your online content. With AdSense, you can show relevant and engaging ads to your site visitors and even customize the look and feel of ads to match your website.
☟⇓WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI (SIO MATUSI)☟⇓

google+

linkedin